Ubongo Yatimiza Miaka 10 ya kuwa Kinara katika Burudani ya Elimu Afrika
Ubongo, kampuni inayoongoza kwa uzalishaji wa vipindi vya elimu burudani Afrika, ina furaha kuwatangazia maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwake, ikisherehekea muongo mmoja wa kuleta mabadiliko katika elimu na…